Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Browsing all 23910 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSANII HAJI JUMBE AFARIKI DUNIA

Muigizaji Haji Jumbe, ambaye amekuwa akiigiza kama Mr. Benson katika tamthilia ya Siri za Familia inayorushwa na EATV amefariki Jumatatu jioni katika Hospitali ya Kinondoni kwa Dr. Mvungi. Siku chache...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA BALOZI WA INDIA PAMOJA NA WASUDANI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa India nchini Mhe. Sandeep Arya (kushoto) aliyemtembelea Makamu wa Rais ofisini kwake Ikulu jijini Dar...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

EFM YAMBURUZA MTANGAZAJI PAUL JAMES MAHAKAMANI

Mtangazaji wa Clouds FM, Paul James aka PJ ameshtakiwa mahakamani na kituo cha redio cha EFM kwa kuvunja mkataba kinyemela.Mtangazaji huyo aliondoka EFM mwanzoni mwa mwezi huu na kurejea kwenye kituo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

EPHRAIM MGAWA AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KESI YA RUSHWA

Aliyekuwa mkuu wa mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Ephraim Mgawe, amefikishwa tena mahakamani akikabiliwa na kesi mpya ya kuomba rushwa ya dola za Marekani milioni nne.Mgawe na wenzake watatu ambao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KESI YA MAMA WA KICHINA "MALKIA WA MENO YA TEMBO" INAZIDI KUUNGURUMA...

By Faustine KapamaAlleged Queen of Ivory, Yang Feng Clan is the sole buyer of elephant tusks collected from different poachers in the county, the prosecution has claimed.The claims against the 66- year...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MR.BOND ASEMA WATOTO WA WASTARA HAWAKUPENDA AOLEWE

SIKU chache baada ya kuripotiwa kupika na kupakua na staa wa filamu za Kibongo, Wastara Juma, Bond Suleiman ameibuka na kusema watoto wa mke huyo wa zamani wa Mbunge wa Donge, Sadifa Juma, hawakupenda...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VENANSI DEO MKAZI WA KAHAMA AKAMATA KITITA CHA SHILINGI MILIONI 100 ZA...

 Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu (katikati) akimuonesha namba ya simu Afisa mwandamizi wa  Bodi ya Michezo ya Kubahatisha nchini,Bakari Maggid (kushoto)ili aihakiki ambapo Bw. Venansi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WEMA SEPETU NA WOLPER WAKIFANYA YAO CHINA

Mastaa wa Bongo Movie Wema Sepetu  na Jackline Wolper bado wapo nchini China wakiendelea kula bata hizi ni baadhi ya picha zao wakiwa huko.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIAMOND PLATINUMS AWATUPIA KIJEMBE MADONGO WALIOKUWA WANASEMA HAJANUNUA...

Diamond Jana amefika kwa mara ya kwanza kwenye nyumba ambayo alinunua South Afrika na Kuandika Yafuatayo...."Asa kunya nakunya mie makalio yanawauma wengine, eti inahuu....? Wambie wasininunie mie,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MENEJA WA MAN FONGO AFUNGUKA KUHUSU FITINA NDANI YA SINGELI

“TAMAA YA WADAU ITAUA SINGELI” ndicho alichokimaanisha. Ni wasanii kadhaa tayari wameshanukuliwa wakionyesha kutokuwa na imani endapo muziki unaohit kwa sasa Singeli utafika mbali.G maker ambaye ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WEMA SEPETU,AUNT EZEKEL MAMBO SAFI,

Kama ulikuwa bado upo kwenye ndoto ya Wema Sepetu na Aunty Ezekiel kuwa maadui – amka!Hii ni picha aliyoiweka Wema Sepetu kwenye mtandao wake wa InstagramWawili hao wameonekana kutokuwa na tatizo baada...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ASILIMIA 90 YA WANAFUNZI KUPATA FEDHA ZAO ZA MIKOPO KESHO

Wakati baadhi ya wanafunzi wa elimu ya juu wakiendelea kusubiri kupata mikopo yao, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema hadi kufikia kesho, asilimia 90 ya wanufaika watakuwa wameshapata fedha zao....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS : JAMAA AJICHINJA BAADA YA MPENZI WAKE KUCHUKULIWA NA MWANAUME...

Katika hali isiyokuwa ya kawaida mwanamme mmoja ambaye hajajulikana jina anayedaiwa kuwa ni mfanya biashara katika stendi ya mabasi ya Mpwapwa mkoani Dodoma amejichinja kwa kile kinachodaiwa kuwa ni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BIFU LA RADIO MAARUFU HAPA NCHINI SASA NI MOTO WA KUOTEA MBALI SANA TIZAMA...

Mwezi wa nne mwaka huu aliyekuwa mtangazaji wa Clouds FM katika kipindi cha Power Breakfast, Paul James maarufu PJ alihama kituo hicho cha redio na kujiunga E.FM.Baada ya muda kidogo mtangazaji huyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MENEJA WA DIAMOND AFANYA TUKIO HILI KWA MENEJA WA ALIKIBA

Kali nyingine imeibuka Mitandaoni siku ya leo, Naam ‘Uchekechaji’ wa Udiamond na Ualikiba unatupa kingine cha kuzungumza kwenye mitandao tena hasa pale mjini Instagram.Katika zile lugha za Kimitandao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIKILIZA HAPA KIPANDE CHA WIMBO MPYA WA ALIKIBA

Hii sio ya kukosa kwa wapenzi wote wa muziki mzuri na hasa wale wanaojiita Team Kiba.Ni kipande tu cha wimbo mpya wa Alikiba ambao unaitwa Risabela na unaotarajiwa kutoka muda wowote kuanzia sasa....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKONGO AMVURUGA KADJANITO, ABADILI NA DINI

Msanii wa Bongo fleva Khadija Said Maigemaarufu kama Kadjanito amefunguka na kusema kuwa amepagawa na mapenzi ya Tresor Lisimo mchezaji wa mpira ambaye ndiye anataka kufunga naye ndoa tarehe 29 mwezi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MENEJA WA MAN FONGO AFUNGUKA KUHUSU FITINA NDANI YA SINGELI

TAMAA YA WADAU ITAUA SINGELI” ndicho alichokimaanisha. Ni wasanii kadhaa tayari wameshanukuliwa wakionyesha kutokuwa na imani endapo muziki unaohit kwa sasa Singeli utafika mbali.G maker ambaye ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIO KWA SHEPU HILI SUPER FRIDAY MBEBEZZ WA SINZA AITINGISHA FACEBOOK LEO SIKU...

Super Friday Babe

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIAMOND AVUNJA UKIMYA AAMUA KUUANIKA MJENGO WAKE WA SOUTH MTANDAONI

Baada ya maneno kibao kupitika mitandaoni kuihusu nyumba mpya ya msanii Diamond Platnumz iliyopo nchini Afrika kusiki jana mkali huyo ameamua kuianika nyumba hiyo na kutoa maneno kuntu yanayo daiwa...

View Article
Browsing all 23910 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>