Kama ulikuwa bado upo kwenye ndoto ya Wema Sepetu na Aunty Ezekiel kuwa maadui – amka!

Hii ni picha aliyoiweka Wema Sepetu kwenye mtandao wake wa Instagram
Wawili hao wameonekana kutokuwa na tatizo baada ya madam Sepenga kuweka picha ya Aunty akiwa na
mwanae Cookie aliyezaa na dansa wa Diamond, Mose Iyobo kwenye mtandao wake wa Instagram na kuandika ujumbe ambao umeonekana kutoa watu machozi.
mwanae Cookie aliyezaa na dansa wa Diamond, Mose Iyobo kwenye mtandao wake wa Instagram na kuandika ujumbe ambao umeonekana kutoa watu machozi.
Wema ameandika kwenye mtandao huo: