
Paul James maarufu PJ alihama kituo hicho cha redio na kujiunga E.FM.Baada ya muda kidogo mtangazaji huyo alirejea tena Clouds FM akitokea E FM. Kufuatia hatua hiyo, E FM imefungua malalamiko katika Tume ya Usuluhishi juu ya PJ ambaye alikuwa mwajiriwa wake.
