Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Browsing all 23910 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU

UTOAJI WA MIKOPO KWA WANAFUNZI MWAKA 2016/2017Baada ya kukamilisha zoezi la Uchambuzi wa maombi ya Mikopo 88,163 yaliyopokelewa hadi kufikia 11 Agosti, 2016. Jumla ya Wanafunzi wapya 20,183 wamepangiwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU WA MKOA AWATAKA WATENDAJI WA VIJIJI NA KATA KULINDA VYANZO VYA MAJI

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla amewataka watendaji wa Vijiji na kata kusimamia sheria za mazingira kulinda vyanzo vya Maji Hayo ameyasema Leo kwenye mkutano na watendaji wa Vijiji na kata wilaya ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AUNT EZEKEL NA MTOTO WAKE WAMSHTUA WEMA SEPETU,

Kama ulikuwa bado upo kwenye ndoto ya Wema Sepetu na Aunty Ezekiel kuwa maadui – amka!Wawili hao wameonekana kutokuwa na tatizo baada ya madam Sepenga kuweka picha ya Aunty akiwa na mwanae Cookie...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ALI KIBA AIKANA NYUMBA INAONYESHWA KWENYE MITANDAO KUWA NI YAKE

Ally Kiba aikana nyumba inayoonekana mitandaoni wakisema ni yake, hii ni alipokua akihojiwa kwenye moja ya radio maarufu nchini"Aliyekwambia mi Nina nyumba nani, naishi nyumba ya kupanga hata ingekuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PROF. MBARAWA AZINDUA BODI YA WAKURUGENZI YA SHIRIKA LA POSTA.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa akikata utepe kwenye begi lilobeba vitendea kazi vya wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Posta katika uzinduzi wa bodi hiyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTENDAJI WA KATA ASWEKWA RUMANDE KWA MATUMIZI MABAYA YA FEDHA ZA UMMA

   Wananchi wa Kijiji cha Esokonoi, Kata ya Gilailumba kata ya Kitumbiine, Wilaya ya Ngorongoro wakionyesha  zana  walizotumia kutengeneza barabara  ya Km 24 kwa nguvu zao wakati wa Ziara ya Mkuu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC GAMBO ASHIRIKI UJENZI WA DARAJA FUPI KATIKA KIJIJI CHA ORGIRAH, WILAYANI...

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Mashaka Gambo ameshiriki ujenzi wa daraja fupi (drift) katika kijiji cha Orgirah kata ya Mundarara na tarafa ya Engarenaibow kwa lengo lakuhamasisha wananchi na viongozi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

STAA JOKATE MWEGELO AANDIKA UJUMBEE HUU KUHUSU TUZO ZA MTV

Super business woman, Jokate Mwegelo aka Kidoti amefunguka sababu anayodhani ilifanya wasanii wa Tanzania washindwe kushinda tuzo za MTV MAMA zilizofanyika Jumamosi iliyopita nchini Afrika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKIN NEWZZ!!:- MKUU WA MKOA WA DAR APIGA MARUFUKU BIASHARA ZA BARABARANI...

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda leo ametoa siku 14 kwa Wakuu wa Wilaya za Jiji hili kuhakikisha machinga wote wanafanyia biashara katika maeneo waliyopangiwa.“Kauli ya Rais aliyoitoa kwamba...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUMPIGIE KURA RAIS WETU DKT JOHN POMBE MAGUFULI KATIKA TUZO YA WATU MASHUHURI...

Rais wetu Dkt  John Pombe Magufuli kachaguliwa na FOBES kushindania Tuzo ya Mtu mashuhuri wa Mwaka 2016 Africa!Tumpigie kura kwa wingi ili iatangaze Nchi yetu Duniani Kote,unaweza bofya link chini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

STAA WEMA SEPETU AMWANDIKIA UJUMBEE HUU AUNTY EZEKIEL(SOMA HAPA)

Mastaa wawili wa Bongo Movie, Wema Sepetu na Aunty Ezekiel, wameonekana kutokuwa na tatizo baada ya Wema kuweka mfululizo wa picha akiwa na shoga yake huyo.Picha na ujumbe wa Wema kwa Aunty unafungua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MARAHABA MUSIC FESTIVAL LINAVYOAMSHA ARI YA KUJENGA VIPAJI KWA WASANII...

Baadhi ya Wasanii wa kundi la  Dar CreatorsHivi ndivyo hali ilivyokuwa kwenye tamasha la muziki wa asili  lililopewa jina ’Marahaba Swahili Music Festival’ lililofanyika hivi  karibuni katika viwanja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMA ULIKUWA HUUJUI HUU NDIO MSHAHARA WA AJABU ALIOKUWA AKILIPWA KOCHA WA...

Oktoba 24 aliyekuwa kocha mkuu wa Klabu ya Yanga,  Hans van der Pluijm aliwasilisha barua ya kujiuzulu katika uongozi wa klabu hiyo.Mambo mengi yameelezwa kuchangia kocha huyo kufikia hatua hiyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MAKAMBA AKAMILISHA ZIARA KATIKA MKOA WA KATAVI

 Bibi Josephine Rupia, Mkuu wa Idara ya Maliasili Halmashauri ya Mpanda akitoa maelezo ya Mto Katuma kupoteza mwelekeo wa kutiririsha maji katika mkondo wake kama ilivyokuwa hapo awali. Wengine katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MENEJA SALLAM NA SEVEN KUMBE NI SHWARI SASA HIVI

 stori mpya ambayo mashabiki wamekuwa wakijiuliza bila ya kukosa majibu kutokana na kitendo alichokifanya meneja wa Diamond Platnumz, SallamMeneja huyo alipost picha ya meneja wa Alikiba, Seven Mosha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU WA MKOA MWENYE UMRI MDOGO KULIKO WOTE KATIKA HISTORIA YA TAIFA AZIDI...

Paul C. Makonda    Instagram· "Nikimwona huyu mtoto namkumbuka baba yake Rashid aliekuwa kiongozi wa Madreva. Ndg yetu kama ulivyoamini kuwa nitamtunza mwanao naomba ujuwe sitakiuka ombi lako kwangu....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAP STAR MTATA NEY WA MITEGO AMUWAKIA IDRIS SULTAN KUHUSU MILLIONI 500...

Baada ya idris sultan kuonekana kufulia mjini msanii ney wa mitego ameibuka na kumuuliza idris sultani kuhusu milioni 500 alizoshinda kwenye big brother Ney wa mitego" baada ya kushinda big brother...

View Article


BREAKIN NEWZZ!!:- POLISI YAWAKAMATA WACHINA WALIOMTEKA MWENZAO KWENYE KAMALI...

Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limewakamata raia wawili wa China kwa makosa ya utekaji nyara mfanyakazi wa kasino ya Le Grande iliyopo maeneo ya Upanga, ambaye pia ni mchina...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKIN NEWZZZ!!!:- WAZIRI WA RAIS MAGUFULI AMSHUKIA WAZIRI MKUU MSTAAFU LIVE...

 By Rabi Humeon October 27, 2016 Waziri wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amesema hati ya shamba lililopo maeneo ya Bunju la aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TRA WAFUNGUA OFISI MPYA KUBWA KIMARA LEO LIVE!!

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania ( TRA), Alphayo Kidata akikata utepe kama ishara rasmi ya uzinduzi wa ofisi mpya ya TRA iliyoko Kimara Mwisho leo Oktoba 27, 2016,Kushoto kwake ni Kamishna...

View Article
Browsing all 23910 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>