Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 23910

MARAHABA MUSIC FESTIVAL LINAVYOAMSHA ARI YA KUJENGA VIPAJI KWA WASANII MBALIMBALI HAPA NCHINI

$
0
0

Baadhi ya Wasanii wa kundi la  Dar Creators
Hivi ndivyo hali ilivyokuwa kwenye tamasha la muziki wa asili  lililopewa jina ’Marahaba Swahili Music Festival’ lililofanyika hivi  karibuni katika viwanja vya Biafra na kuhudhuriwa na mamia ya wakazi wa  Jiji la Dar waliopata burudani mbalimbali za muziki wa ngoma za asili na nyimbo mbalimbali zilizoimbwa (Live).

Mmoja wa Waratibu wa  tamasha hilo,Karola Kinasha alieleza lengo lake ni kukuza vipaji vya wasanii chipukizi  wanaoimba na kupiga vyombo mbalimbali vya muziki wa asili,na piia  kuutangaza muziki wetu wa asili.

Mwenye kanga ni mwanamuziki kutoka visiwa vya Mayotte aliyepanda 
jukwaani akisindikizwa na wanafunzi wa muziki wa kituo cha Music mayday

Mwanamuziki kutoka katika viziwa vya Mayotte akipiga gitaa akishirikiana na wanamuziki kutoka chuo cha muziki cha Music May Day.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 23910

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>