Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 23910

KAMA ULIKUWA HUUJUI HUU NDIO MSHAHARA WA AJABU ALIOKUWA AKILIPWA KOCHA WA YANGA LIVE!!

$
0
0
plujim
Oktoba 24 aliyekuwa kocha mkuu wa Klabu ya Yanga,  Hans van der Pluijm aliwasilisha barua ya kujiuzulu katika uongozi wa klabu hiyo.


Mambo mengi yameelezwa kuchangia kocha huyo kufikia hatua hiyo kikubwa kikidaiwa ni mgogoro kati ya kocha na uongozi wa timu hiyo juu ya mchezaji Mrisho Ngassa aliyetaka kurejea klabuni hapa baada ya kuvunjwa mkataba na klabu yake ya Afrika Kusini lakini kocha wa Yanga akamkatalia. Kingine kilichodaiwa kuwa ni chanzo cha kocha wa Yanga kujiuzulu ni pamoja na mvutano kwenye upangaji wa vikosi katika michezo mbalimbali.

Licha ya taarifa hizo zote kuelezwa kwenye mitandao ya kijamii, klabu ya Yanga imesema kuwa kocha huyo amesema kuwa amejiuzulu nafasi hiyo kwa sababu zake binafsi na hivyo wao kama klabu wamesikitikana sana kwani aliykuwa ni kocha mzuri aliyeisaipigania klabu hiyo kwa hali na mali.

Akiwa ndani ya Klabu ya Yanga,  Hans van der Pluijm alikuwa akilipwa mshahara wa jumla TZS milioni 31,188,714, ambapo kutoka katika mshahara huo alikuwa akikatwa kodi TZS milioni 9,238,714 na hivyo kufanya mshahara wake anaobakiwa nao TZS milioni 21,950,000 kwa mwezi.

Aidha, imedaiwa kuwa klabu ya Azam FC imekuwa ikifanya mazungumzo ya siri na kocha Hans van der Pluijm tangu ajiuzulu wakimtaka ajiunge na wanalambalamba hao wa Chamazi, Mbagala.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 23910

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>