$ 0 0 Paul C. Makonda Instagram· "Nikimwona huyu mtoto namkumbuka baba yake Rashid aliekuwa kiongozi wa Madreva. Ndg yetu kama ulivyoamini kuwa nitamtunza mwanao naomba ujuwe sitakiuka ombi lako kwangu. Ulale Kwa Amani Rashid."