UDSM YATAKIWA KUHAKIKISHA INAENDELEA KUWA CHUO KIKUU KIONGOZI
Rais Mstaafu wa awamu ya nne ambaye pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na washiriki wa kongamano la kuazimisha miaka 55 toka kuanzishwa kwa Chuo Kikuu...
View ArticleTETESI KUBWA MJINI BONGO NA MITANDAO YA KIJAMII SOMA HAPA KUHUSU KOCHA WA...
Kuna tetesi zimeenea kwenye mitandao ya jamii kwamba, George Lwandamina kocha wa klabu ya Zesco United ya nchini Zambia anayehusishwa na mpango wa kujiunga na Yanga tayari ameshawasili nchini.Inadaiwa...
View ArticleMAJANGAZZ YA KIJANA ALIYEDUNGWA SINDANO YENYE VIRUSI VYA HIV NA BABA YAKE...
Wakati babaake Bryan Jackson alipomdunga sindano ya virusi vya HIV mwanawe mchanga,alitumai kwamba hatamuona akikuwa.Hakuna mtu aliyedhani kwamba miaka 24 baadaye atakabiliana na mwanawe mahakamani ili...
View ArticleMH MAKONDA AFUNGUKA MAKUBWA KUHUSU MKEWE,AFICHUA SIRI NZITO
Amendika haya kupitia Ukurasa wake wa Instagram"Najua nina WEWE na hiyo INATOSHA!Wewe ndio siri ya NGUVU YANGU, wewe ndio kila kitu kwenye maisha yangu.. najua nimewahi kukukosea lakini ninachofahamu...
View ArticleMAJIBU YA MEYA WA KINONDONI KUHUSU DK TULIA NA WAZIRI NDALICHAKO KUSHIRIKI...
October 23 2016 baraza la halmashauri ya manispaa ya Kinondoni, Dar es salaamlilitangaza ushindi wa nafasi ya umeya kwa Benjamin Sitta ambaye alipigiwa kura na baadhi ya wajumbe.Lakini moja ya headline...
View ArticleJACKLINE WOLPER NA IRENE WOLPER MAZITO YAIBUKA,KILA KITU HAPA LIVE
Staa wa Bongo mwenye mvuto, Irene Uwoya.Stori: Hamida Hassan, IjumaaMastaa wa kike wenye mvuto Bongo, Irene Uwoya na Jacqueline Wolper wamezungumza na gazeti hili na kwa mara ya kwanza wameamua...
View ArticleHUYU NDIO CEO WA YANGA KUTOKA UFARANSA
Ukiachana na headlines za uongozi wa klabu ya Yanga kudaiwa kumleta kocha mpya katika klabu hiyo George Lwandamina kutoka Zesco United ya Zambia taarifa mpya zimetoka Yanga wamemteua mfaransa Jerome...
View ArticleCRAZY GKAFUNGUKA MAZITO KUHUSU ALI KIBA
Mkongwe huyo wa mziki ameyasema maneno hayo katika kipindi cha MY PLAYLIST knachotushwa na clouds tv, aidha amesema kuwa Alikiba ni mwanamziki anaejielewa, mwenye sauti nzuri na anejua kuitumia vilivo,...
View ArticleCHECK DIAMOND PLATINUMS NA RAPPER WA MALAWI TAY GRIN WAKISHOOT VIDEO
Tuzo za MTV MAMA huwakutanisha wasanii wengi wa Afrika kwa wakati mmoja. Si kila anayehudhuria huwa ametajwa kuwania tuzo, bali wengine huenda kwaajili ya kutafuta connection.Rapper wa Malawi, Tay Grin...
View ArticleSUPER STAR JOKATE KIDOTI AFANYA TUKIO LA AJABU DOWN TOWN
Mrembo, Jokate Mwegelo ameahidi kujenga viwanja vya michezo kwa shule ya Sekondari ya Majani ya Chai iliyopo Vingunguti jijini Dar es Salaam.Akizungumza katika mahafali ya nane ya shule hiyo, Jokate...
View ArticleHAYA NDIO YALIVYOKUWA MAISHA YA WAREMBO HAWA KABLA YA KUWA MASTAA HAPA BONGO
NAIJUA familia ya mboga saba? Wengine wanapenda kuwaita watoto wa kishua ama familia bora. Hii ikiwawakilisha watoto wanaozaliwa kwenye familia yenye uwezo mkubwa wa kiuchumi, kiasi cha kutumia mlo...
View ArticleMSANII MWINGINE KUTOKA AFRIKA ALIYESAINI NA LEBO YA SONY MUSIC
Ijumaa ya tarehe 21 October 2016, Afrika kusini ikiwa ni tawi la Sony Music Entertainment, kampuni ya masuala ya Entertainment kwa upande wa Afrika, ilitangaza kumsaini msanii mwingine ndani ya lebo...
View ArticleSTAA DIAMOND AKATAA KUWASAJILI WASANII WA KIMATAIFA KWENYE LABEL YAKE
Diamond amedai kuna wasanii wengi wa kimataifa Afrika na nje ya Afrika wametaka kujiunga na WCB lakini amewakatalia kwa kuwa anatka kukuza wa nyumbani kwanza Pia amesema sasa hivi hawachukui wasanii...
View ArticleMATUKIO MBALIMBALI UFUNGUZI WA MKUTANO WA KIUCHUMI WA KOREA NA AFRIKA MJINI...
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb), akipokea zawadi ya kitabu kinachoelezea njia zilizotumiwa na nchi ya Korea Kusini, kupiha hatua kubwa ya maendeleo, kutoka kwa Afisa Mikopo wa...
View ArticleMAENDELEO BENKI YAFUNGUA TAWI JIPYA
Mkurugenzi Mtendaji wa Maendeleo Benki Bw. Ibrahim Mwangalaba akizungumza na wageni waalikwa jana katika uzinduzi wa tawi jipya la benki hiyo lililopo Mwenge jijini Dar es Salaam,kulia kwake ni...
View ArticleMAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AKUTANA NA BALOZI WA INDIA NA WA SUDANI JIJINI DAR...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa India nchini Mhe. Sandeep Arya (kushoto) aliyemtembelea Makamu wa Rais ofisini kwake Ikulu jijini Dar...
View ArticleJOH MAKINI ATOA FURSA HII KWA WADADA KUJIUNGA WEUSI
Rapa Joh Makini ambaye anafanya vyema na wimbo wake wa ‘Perfect Combo’ amefunguka na kusema kuwa milango iko wazi kwa wasanii wa kike kujiunga na kundi la Weusi na kufanya nao kazi.Joh Makini amesema...
View ArticleWAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WAADHIMISHA MWEZI WA SARATANI YA MATITI...
Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu (kushoto) akipewa ushauri na Mtaalam wa magonjwa ya Saratani ya matiti wa hospitali ya AAR Dkt. Zacharia Kabona wakati wa zoezi la kuwapima ugonjwa...
View ArticleTAZAMA DIAMOND PLATNUMZ NA TEAM YAKE WAKIWA LOCATION PRETORIA SOUTH AFRICA
Siri imevuja katika account ya Snapchat ya meneja wa Diamond Platnumz Sallam SK baada ya kufunguka kuwa wako South Africa na team nzima wakishoot video mpya lakini hakuwa tayari kulitaja jina la video...
View Article