
Siri imevuja katika account ya Snapchat ya meneja wa Diamond Platnumz Sallam SK baada ya kufunguka kuwa wako South Africa na team nzima wakishoot video mpya lakini hakuwa tayari kulitaja jina la video hiyo.
Ni baada ya kutoka kwenye White Party ya mkali Wizkid ambayo ilifanyika mjini Johannesburg nchini hapo na kuelekea mjini Pretoria ambako ndio location wanapo shoot kichupa hicho kipya.
Ngoja nikupe nafasi ya kuitazama video hii na kuiazima maskio yako kwa muda ili kukisikiliza alichokisemaSallam SK pindi wakiwa location.