HUU NDIO UTAJIRI WA STAA DIAMOND PLATNUMZ
Kumekuwepo na tetesi nyingi kuhusu utajiri wa Diamond umefikia kiasi gani. Hilo ni swali ambalo hajawahi kulijibu kwa uhakika zaidi ya kutoa tu hints na kuwaacha wanaouliza kubaki na majibu yao wenyewe...
View ArticleMCHECK MPENZI MPYA WA IDRISS SULTAN,WAPEANA MAHABA MOTOMOTO KWENYE TUZO SOUTH
Inasemekana eti Idriss na Mrembo ajulikanaye kama Sanchoka kwa sasa ni wapenzi baada ya kuonekana pamoja huko Afrika Kusini walipoenda kwa ajili ya MTV awards...Picha na Video mbali mbali wakiwa...
View ArticleMRITHIWA PLUIJM ASAINI MIAKA MIWILI YANGA
Mwaka 2014 ZESCO ilimsaini Lwandamina kuwa kocha mkuu, katika msimu wake wa kwanza aliisaidia ZESCO kutwaa taji la ligi kuu ya Zambia kisha kulitetea msimu uliofuta. (Picha na Mwananchi Communications...
View ArticleSERIKALI KUWABANA WANAFUNZI WANAOPEWA MIKOPO KIPAUMBELE
Serikali ipo katika mkakati wa kuwabana wanafunzi wanaopewa mikopo katika fani za kipaumbele, kutumikia katika utumishi wa umma nchini kwa muda fulani ili kuhakikisha dhamira ya serikali ya...
View ArticleROSE NDAUKA ASEKWA LUPANGO
Sexy lady wa sinema za Kibongo, Rose Donatus Ndauka (pichani) anadaiwa kuswekwa lupango kwa takriban saa nne kabla ya kuchomolewa kwadhmana.Sosi wetu ambaye ni mtu wa karibu wa Rose alinyetisha kuwa,...
View ArticleMAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AMEKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA ITALIA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Italia nchini Mhe. Roberto Mengoni (kushoto) ,Ikulu jijini Dar es SalaamMakamu wa Rais wa Jamhuri ya...
View ArticleMPAMBANO WA ISHA MASHAUZI, MALKIA LEYLA ULIKUWA ‘BALAA’!
Baada ya Isha kuanza kukamua shabiki huyu alikunwa na hivyo kuvamia jukwaa kwenda kumtunza.Sehemu ya umati uliofurika ukumbini hapo kufuatilia mpambano huo.Leyla akifanya yake baada kupanda...
View ArticleKINANA AONGOZA MAKATIBU WAKUU WA VYAMA VYA UKOMBOZI KUISNI MWA AFRIKA KATIKA...
Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Chama Cha kikomunisti cha China (CPC) Ndugu Liu Yunshan, mjini Chongqing, nchini China hivi karibuni. Katika...
View ArticleHUYU NDIYE MPENZI MPYA WA STAA IDRIS SULTAN(+PICHA)
Inasemekana eti Idriss na Mrembo ajulikanaye kama Sanchoka kwa sasa ni wapenzi baada ya kuonekana pamoja huko Afrika Kusini walipoenda kwa ajili ya MTV awards...Picha na Video mbali mbali wakiwa...
View ArticleWAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MSAIDIZI WA MTENDAJI...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa heshima za mwisho kwa Msaidizi wa Mtendaji Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Marehemu Margareth Lwekama katika ibada ya kumuombea marehemu iyoyofanyia kwenye Kanisa la...
View ArticleJEURI YA PESA TIZAMA KUFURU LA MFALME WA MOROCCO KWENYE ZIARA YAKE BONGO LIVE!!
Rais John Magufuli akiwa na Mfalme wa Morocco, Mohamed V1 baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam jana. Picha na Anthony Siame Kwa ufupiKabla ya...
View ArticleMSANII BANANA ZORRO KUHAMIA KWENYE MUZIKI WA SINGELI
Hakuna ubishi kuwa muziki wa Singeli umeteka vichwa vya mashabiki wengi kwa sasa nchini. Banana Zorro amefunguka juu ya matarajio ya kufanya muziki huo.Muimbaji huyo ameliambia gazeti la Mtanzania kuwa...
View ArticleMAKAMBA ASIKITISHWA NA UPUNGUFU WA MAJI KATIKA ZIWA RUKWA, ATOA MAAGIZO KWA...
Na Lulu Mussa, SumbawangaWaziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe.January Makamba ameendelea na ziara ya kikazi katika Mkoa wa Rukwa. Katika ziara yake Waziri Makamba...
View ArticleMSANII RAMMY AELEZA MENGI JUU YA PENGO LA KANUMBA(SOMA HAPA)
Msanii wa filamu nchini Rammy Galis amesema pengo aliloacha msanii wa filamu nchini marehemu Steven Kanumba ni kubwa na halitazibika litabakia kuwa hivyo.Galis ameyasema hayo kwenye kipindi cha...
View ArticleMEYA MPYA WA KINONDONI MSTAHIKI BEN SITTA BAADA YA KUSHINDA KWA KISHINDO...
Meya mpya wa Kiondoni Mstahiki Ben Sitta, baada ya kushinda uchaguzi huko kwa kishindo jana live!!Baada ya kutawazwa kuwa Meya mpya Mstahiki Ben Sitta akiingia Ukumbi wa Manispaa kukalia kiti hicho na...
View Article