![]() |
Meya mpya wa Kiondoni Mstahiki Ben Sitta, baada ya kushinda uchaguzi huko kwa kishindo jana live!! |
![]() |
Baada ya kutawazwa kuwa Meya mpya Mstahiki Ben Sitta akiingia Ukumbi wa Manispaa kukalia kiti hicho na kusimamia kikao cha kwanza cha Manispaa hiyo jana. |
![]() |
Waziri wa Mambo ya Nje Dr. Mahiga akipiga kura yake kwenye uchaguzi huo wajana wa Meya ambapo Ben Sitta Diwani wa Masaki alishinda kwa kishindo na kushika wadhifa huo. |
![]() |
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri Dr. Tulia akipiga kura jana kwenye uchaguzi huo wa Meya wa Kinondoni. |
![]() |
Baadhi ya Wajumbe wa Kikao hicho cha jana Waziri wa Elimu Ndalichako, Waziri wa Utumishi na Utawala bora Ofisi ya Rais Kairuki, na Katibu Mkuu wa UWT/CCM Taifa Makilaki baada ya uchaguzi wa jana. |