Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 23910

ROSE NDAUKA ASEKWA LUPANGO

$
0
0
 
Sexy lady wa sinema za Kibongo, Rose Donatus Ndauka (pichani) anadaiwa kuswekwa lupango kwa takriban saa nne kabla ya kuchomolewa kwadhmana.

Sosi wetu ambaye ni mtu wa karibu wa Rose alinyetisha kuwa, staa huyo alikuwa kwenye misele na gari lake maeneo ya Kawe jijini Dar ambapo alitanua barabarani hivyo akakamatwa kisha kukaibuka tafrani iliyosababisha kufikishwa kwenye Kituo cha Polisi cha Kawe alikosota kwa muda huo kabla ya kuachiwa.


Rose Ndauka katika pozi na msanii Casso.
Baada ya Wikienda kunyetishiwa habari hiyo, lilimtafuta Rose ambaye alifunguka kwa kifupi:
“Duh! Hii ishu mmeipata? Kweli ninyi siyo watu wa mchezomchezo, baada ya kuandika kuhusu Lebo ya Ndauka mnataka umbeya tu, sasa hivi nna lebo imeanza na msanii Casso aliyeimba Wimbo wa Kitonga.”
Rose alisema kukaa kwake lupango amejifunza kwani saa nne aliziona kama miezi na kuwakumbusha watu kuheshimu sheria za usalama barabarani.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 23910

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>