Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Browsing all 23910 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BATA BATANI K LYNE ATAMBULISHWA NA MENGI HUKO MERERANI.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LE MUTINDIZZ ATAKA MTINDI WAKE UFANANE NA WA NICK MINAJ.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BONGO MOVIE LUCY KOMBA AWAPONDA WASANII WANAO JICHUBUA.

Siku tatu mfululizo muke wa muzungu Lucy Komba amekuwa akiwaponda wasanii waliojichubua Tanzania na kujisifia yeye na wasanii wa Nigeria wasio jichubua.Wasanii wanaojichubua bongo ni madam Wema Sepetu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIATU VIREFU VYAMPONZA MARIAH CARREY APIGA MWELEKA WA HAJA

Mariah Carey amepiga mweleka wa nguvu baada ya kuponzwa na viatu virefu alipokuwa matembezini na mpenzi wake billionea mmiliki wa Cassino.Mwimbaji huyo mwenye umri wa  miaka 45 kwa sasa na mama wa...

View Article

"Amba" AVEC NYIBOMA + REDI HAMISI ORIGINALLY WITH ORCH. LIPUA LIPUA YA VATA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MH RIDHIWANI ATUPA KOMBOLA KWA MTANGAZA NIA WA URAIS KIMYA KIMYA.

Katika post ya leo ya mbunge wa Chalinza Ridhiwani Kikwete ametupa jiwe gizani kwa mmoja kati kati ya watangaza nia ujumbe ukiwa Ikulu sio ya baba ako na Ikulu sio hospitali,Rais bora ni lazima awe na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOWASA AGONGA NDAFU BAADA YA UDHAMINI MNONO.

Edward Ngoyai Lowasa aliyeanzisha safari ya matumaini kwa watanzania baada ya kujipatia udhamini mnono wa takribani saini 874,297 zaidi ya mikoa 20 ya nchi ya Tanzania amejipongeza kwa ndafu matata...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAIDI FELA APIGA PICHA KWA POZI LA MWAKA 47.

Meneja wa kundi la TMK wanaume family Said Fela amepiga picha yenye pozi la kizamani kwa kusimama mbele ya gari la kifahari na kuphotolewa huku vidole akiviweka kwa style ya pekee ya vijana.Huu ulikuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAULI TANO NZITO KWA TAIFA NA CHAMA CHA ACT TOKA KWA ZITTO ZUBERI KABWE.

1.Lowasa kwenda ACT ni ngumu kutokana na sera ya chama hicho itambidi aachane na biashara kama anataka kuwa kiongozi wa umma.Pia ahamini mgombea huyo kuihama CCM ameitumikia muda mrefu na hafanyi siasa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ALI KIBA KINGEREZA HAKIMSUMBUI KAMA DIAMOND PLATNUM ONA MEETING ZAKE.

Ali Kiba baada ya kuteuliwa mwakilishi kwenye kampeni ya kuzuia vifo vya tembo WildAid amekuwa akikutana na mabalozi wakiwemo wa Marekani na msanii mkubwa wa filamu marekani Lupita Nyongo pamoja na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

THE KING OF ALL BONGO SOCIAL MEDIA NETWORK LIVE SPECIAL INTERVIEW AT MLIMAN...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKIN NEWZZ!!:- MSUMBIJI WAHALALISHA NDOA ZA JINSIA MOJA LIVE!!

Msumbiji imehalalisha Mapenzi ya Jinsia moja, na hii imeifanya kuwa kati ya Nchi chache za Afrika zilizoruhusu Mapenzi ya jinsia moja. Source: BBCnt· Share

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HUYU MZEE MUGABE SASA ANAAANZA KUZEEKA VIBAYA ONA HAPA LIVE!!

Rais Mugabe wa Zimbabwe amepinga hatua ya Mahakama Kuu Nchini Marekani kuhalalisha ndoa za jinsia moja katika Majimbo yote 50 ya Taifa hilo. -Katika kipindi chake cha Radio kila wiki, amekejeli kuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MENEJA WA DIAMOND PLATNUM AMCHEKA ALI KIBA.

Kesho video aliyoshilikiswa Diamond Platnum na msanii wa Nigeria K cee yenye jina love boat itaachiwa.Inasemekana ni video kali sana itakayo mweka Diamond kwenye mzunguko wa media za Afrika.Meneja huyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SUPER STAR AUNT EZEKEL AFUNGUKA ANAVYOMZIMIA IYOBO

Maybe Auntie Fell for Moze because he is just a simple person who doesn't have alot coz she wants them to build a life from scratch...What do you think??

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MUME WA ZARI AMPIGIA DEBE MGOMBEA LOWASA.

Katika hali isiyo ya kawaida mume wa Zari the boss lady anayeitwa Ivan amempigia debe mgombea Edward Lowasa.Ingawa jamaa ni mganda anayeishi nchini South Africa.Kama ilivyo ada baada  ya debe ilo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LE KISS HADHARANI MBONGO MOVIE LUCY KOMBA NA MUMEWE.

Lucy Komba aliyeolewa na mume mwenye asili ya kizungu amejiachia live na lekiss.Maadili ya kibongo yamewekwa pembeni kwenye ndoa hiyo ya mchanganyiko wa mataifa.Le mbebez huyo ambaye anaishi nchi ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA ZA KUMKASHIFU DIAMOND YASAMBAZWA MITANDAONI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAAJABU YA MOROGORO! WAAMKA KULA DAKU, WAMKUTA NYOKA MWENYE HIRIZI!

Nyoka huo baada ya kuuawa.Dustan Shekidele, MorogoroInatisha! Ndani ya Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, familia ya mwanaume aliyetambuliwa kwa jina la Hamis Juma, imekumbwa na mauzauza baada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AUNT EZEKEL : NITAMUUNGA MKONO WEMA SEPETU KATIKA SAFARI YAKE KUGOMBEA UBUNGE

 Diva wa filamu Bongo ambaye kwa sasa ni mama wa mtoto mmoja anayetambulika kwa jina la Cookie, Aunt Ezekiel, amefungukia kuhakikisha anampa sapoti ya nguvu shosti wake, Wema Sepetu katika harakati...

View Article
Browsing all 23910 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>