Meneja wa kundi la TMK wanaume family Said Fela amepiga picha yenye pozi la kizamani kwa kusimama mbele ya gari la kifahari na kuphotolewa huku vidole akiviweka kwa style ya pekee ya vijana.Huu ulikuwa utaratibu wa vijana wa kizamani wakupiga picha na mali za watu na kuwalingishia mashkaji na wanawake.
↧