Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 23910

LOWASA AGONGA NDAFU BAADA YA UDHAMINI MNONO.

$
0
0
Edward Ngoyai Lowasa aliyeanzisha safari ya matumaini kwa watanzania baada ya kujipatia udhamini mnono wa takribani saini 874,297 zaidi ya mikoa 20 ya nchi ya Tanzania amejipongeza kwa ndafu matata huku akisubiri mchakato kuendelea.Lowasa mwenye minong'ono ya kukatwa jina lake na kamati ya NEC hana wasiwasi kwakuwa ametumikia chama hicho katika ujana wake wote.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 23910

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>