THE GROOVEBACK DISCO FULL SQUAD DJs CREW B
From left:- DJ Toni Kadushi + Big Kevin + DJ Peter Moe + DJ Crucial live at East 24th kila JUMAMOSI ni balahaaaa U know le bataz za ubatan live!!
View ArticlePICHA YA MWANAMKE ANAYEJUTIA MWILI WAKE:MAVAZI YAKE MENGI NI MASHUKA TU
Pamoja na mazoezi anayofanya na dayati lakini bado mwili wake hauna dalili yeyote ile ya kupungua. anahitaji msaada wako wa kimawazo ili na yeye awe anafurahiya mwili wake; mavazi yake yamekuwa ni tabu...
View ArticleLE MUTUZ SELLING THE NEW FIRE EXTINGUISHER FROM ONE EXTREME SOLUTIONS TZ AT...
Le Mutuz with One Extreme Solutions TZ new product the Fire Extinguisher a little bottle with fluids that you just throw it on fire in the progress, ni chupa ndogo tu unairusha kwenye moto unaowaka...
View ArticleWANDISHI WA HABARI MBEYA WAPATIWA MAFUNZO
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Profesa Norman Sigallah, akifungua mafunzo ya Utekelezaji wa adhabu mbadala kwa wafungwa kwa Waandishi wa habari wa Mkoa wa Mbeya yaliyotolewa na Wizara ya Mambo ya ndani...
View ArticleBREAKING NEWZZZ....MWENYEKITI WA CUF IBRAHIM LIPUMBA APIGWA VIBAYA BAADA YA...
HABARI ZILIZO TUFIKIA HIVI PUNDE NI KUHUSU MWENYEKITI WA CUF PROF IBRAHIM LIPUMBA KUPIGWA ....HUKU PIA NA WAANDISHI WA HABARI KUPIGWA BAADA YA KUKAIDI AMRI YA POLISI ILIYO WATAKA KUTAWANYIKA.CUF...
View ArticleTAZAMA PICHA KUTOKA BUNGENI LEO,MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI AAPISHWA
Spika wa Bunge, Anne Makinda akiongozwa na Mpambe kuingia kwenye ukumbi wa Bunge leo Januari 27, 2015.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge,...
View ArticleDiamond Azomewa Tena Leaders na Kurushiwa chupa za Maji zenye Mkojo ndani yake
Msanii anayetesa katika mziki wa kizazi kipya hapa nchini, Nassib Abdul 'Diamond Platnumz' usiku wa jumamosi iliyopita alijikuta katika wakati mgumu baada ya kuzomewa na mashabiki kwenye viwanja vya...
View ArticleUN TANZANIA WAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA MAADHIMISHO YA WAHANGA WA...
Balozi wa Ujerumani Nchini Tanzania Mh Egon Kochanke akitoa historia fupi ya wahanga wa maangamizi Makuu ya Moto Dhidi ya Wayahudi katika maadhimisho yaliyofanyika katika Ukumbi wa Utamaduni wa Russia...
View ArticleMAUAJI YA POLISI IKWIRIR..MATITO YAIBUKA...YADAIWA KUNA KUNDI LINAKUSANYA...
MAZITO yameibuka kufuatia tukio la majambazi kuvamia Kituo cha Polisi Ikwiriri, Rufiji, Pwani na kuwaua askari wawili kisha kuchukua bunduki 7, risasi 60 na mabomu kadhaa, Uwazi limeichimba.Tukio hilo...
View ArticleUJUMBE KUTOKA CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI (NDC)
Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi Tanzania, Meja Jenerali GS Milanzi(kushoto) akisalimiana na baadhi ya Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza walipofanya ziara ya mafunzo Makao Makuu ya Jeshi la...
View ArticleMTANZANIA ANAYE MVALISHA RAIS KIKWETE PAMOJA NA RAIS WA MPYA WA ZAMBIA EDGAR...
Mbunifu wa mavazi wa kimataifa, Sheria Ngowi ameendelea kuipeperusha bendera ya Tanzania kupitia kipaji chake cha ubunifu wa mavazi baada ya kumvalisha Rais mpya wa Zambia, Edgar Lungu katika sherehe...
View ArticleSHULE YA KALOLENI YAKABILIWA NA CHANGAMOTO YA UZIO
Katika picha kulia Mwenyekiti mpya wa mtaa wa kaloleni jijini Arusha Abdul Nassor juzi alikabidhi matofali 100 kwa mwalimu mkuu wa shule ya msingi kaloleni mama Raymond Pudensian kwaajili ya ujenzi wa...
View ArticleGODFREY L. MNGEREZA ATEULIWA KUWA KATIBU MTENDAJI WA BASATA
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) linapenda kuwatangazia Wasanii na wadau wote wa Sanaa nchini kwamba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kwa kifungu namba 5...
View ArticleMwana FA na Diamond haziivi kisa Alikiba kumshirikisha kwenye hit single...
Weekend hii kwenye show ya uzinduzi wa Tigo Music iliyofanyika Leaders Club jijini Dar es Salaam, kulienea taarifa kutoka kwa mmoja wa mameneja wa Diamond Platnumz kuwa Alikiba aliwazuia Mwana FA na...
View ArticleONA HUYU MCHUNGAJI ANAVYOMWOMBEA HUYU MAMA!
Wanawake MUNGU awasaidie sana Mjue kujenga Mahusiano binafsi ya karibu na MUNGU mwenyewe kuliko kutegemea sana kuombewa hovyo hovyo,Kisa tu Umeambiwa na Rafiki yako kwamba yuko Apostle flani ana Upako...
View ArticleNIMEAMUA KUPAKI GARI YANGU NIPANDE DALADALA ILI NIONEKANE KWA WAVULANA NIOLEWE
Mimi i always assumed MONEY IS THE ANSWER TO ALL PROBLEMS!!!! Yaani its something i believed totally n completely! I believe it to the extent i feel like im starting to turn it to faith!!!!!!!! Bt...
View ArticleMWANAJESHI ACHOMWA KISU AKIWATETEA WANAFUNZI
Kuna mwanajeshi aliyechomwa kisu juzi juzi maeneo ya Tungi karibu na shule ya Tungi. Kwa kuwatetea wanafunzi waliotaka kuibiwa na vibaka. Baada ya hapo wakamchoma visu huyo mwanajeshi. Yupo hospitali...
View Article