KAMWAMBIE’ YA DIAMOND YAHIT UPYA NIGERIA, BLOG ZOTE ZAIPOST, ZINGINE...
Huwezi kuamini hili, lakini blog za Nigeria zimedata na ngoma iliyomtambulisha Diamond miaka minne iliyopita, Kamwambie. Haijulikani ni vipi wimbo huo jana umeonekana kuwa dhahabu kwenye blog za...
View ArticleMAMA MKULIMA ASHINDA MIL. 10/- ZA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS YA VODACOM
Msimamizi wa bodi ya michezo ya kubahatisha,Mrisho Millao(kulia)akiandika namba ya Hynes Petro Kanumba (20) Mkazi wa kijiji cha Inyonga mkoani Rukwa aliyeibuka mshindi wa Shilingi Milioni 10/- katika...
View ArticleWASICHANA WAZURI ZAIDI KUTOKA KENYA
Kenya kwa sasa inakuja kwa zaidi kwenye upande wa mswala ya urembo,kutoka kwenye website mbali mbali hawa ndio wanaongoza kwa kuandikwa kuwa ni wazurizaidi na pia wanaotumika zaidi kwenye video nyingi...
View ArticleDK HUSSEIN ATEULIWA KUWA MWENYEKITI WA MUDA WA BODI YA WAKURUGENZI YA NBC
NATIONAL BANK OF COMMERCEBENKI YA TAIFA YA BIASHARATAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIDk Hussein ateuliwa kuwa mwenyekiti wa muda wa Bodi ya Wakurugenzi ya NBCDar es Salaam: Benki ya Taifa ya Biashara (NBC)...
View ArticleUREMBO WAMPONZA MADAME WEMA SEPETU! AFUNGUKA
Stori: Imelda MtemaBEAUTIFUL Onyinye, Wema Sepetu ‘Madam’ amefunguka kuwa anajuta kutumia kope za bandia kwa muda mrefu kwani zimeharibu kope zake za asili.Beautiful Onyinye, Wema Sepetu ‘Madam’....
View ArticleMSANII WA BONGO MOVIE TIKO AKATAA KUITWA GOGO
Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Tiko Hassan.MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Tiko Hassan amesema hakuna kauli ambayo haipendi kama kuambiwa si hodari wa mapenzi (gogo) wakati anajiamini yupo vizuri...
View ArticleTHE MAGAZETI YA BONGO LEO SATUDAY /JUMAMOSI 24/1/2015 LIVE!!
................... ........
View ArticleOFM YAMNASA HAUSIGELI AKIJIUZA , MWENYEWE AJITETEA KUWA NI UGUMU WA MAISHA
Tumekwisha! Kikosi maalum cha Oparesheni Fichua Maovu (OFM) cha Global Publishers, kimemnasa msaidizi wa kazi za ndani (hausigeli) akifanya biashara haramu ya kuuza mwili kwa kisingizio cha mshahara...
View ArticleWADADA WA NAMNA HII NI SHIDAAH KUWA NAO KIMAHABA
Hakikisha unawakwepa aina hii ya wanawake ili usijiingize kwenye matatizo. Nitakwambia ni kwa nini….. 1.Demu wako wa zamani Ni vizuri kutorudia mahusiano ya zamani na zaidi kama kwenye mahusiano yenu...
View ArticleMWANAFUNZI KIDATO CHA PILI AJIFUNGUA KWENYE DALA DALA, NI BAADA YA KUMEZA...
Mwanafunzi wa Shule moja ya sekondari Jijini Dar es Salaam kajifungua kwenye daladala Maeneo ya azizi ally baada ya kumeza dawa za kutoa mimba, Kwa lugha nyingine Tunaweza kusema mwanafunzi huyo...
View ArticleMWIGULU NCHEMBA AZINDUA HUDUMA MPYA BENKI YA MAENDELEO YA KKKT
Naibu waziri wa fedha, Mwigulu Lameck Nhemba, (Kushoto), akiteta jambo na Mkuu wa Kanisa la Kiluteri la Kiinjili Tanzania, (KKKT), Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa, wakati alipozindua huduma mpya ya...
View ArticleBREAKING NEWS: WAZIRI PROFESA MUHONGO ATANGAZA KUJIUZULU
Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (pichani)Habari kutoka katika mkutano wa Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo(pichani) na wanahabari ofisini kwake Dar es salaam...
View ArticleWOLPER, NAY KUIBUA UHUSIANO WA KIMAPENZI
Na Musa MatejaBAADA ya kudaiwa kuwa wapenzi na kisha habari hizo kufifia, hatimaye penzi la mwigizaji wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper na Mbongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’,...
View ArticleDIAMOND PLATINUMZ: MAMA NA BABA 'AKE HOI KITANDANI!
HALI ni tete! Wazazi wa nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Sanura Kasim na Abdul Juma wako hoi vitandani wakikabiliwa na maradhi mbalimbali, taarifa kamili ipo hapa. Mama wa mbongofleva,...
View ArticleKAMA ULIKUWA HUMJUI HUYU NDIYE SUPER STAR ACTRESS IRENE UWOYA ANAYEKIMBIZA...
Super Star Irene Uwoya live!!
View ArticleJEURI YA PESA YA MWANAMUZIKI KOFFI OLOMIDE BAADA YA KUNUNUA GARI LA KIFAHARI...
Ukiwataja wanamuziki matajiri basi Koffi ni mmoja wao, akiwa anamiliki 5 Star Hotel na akiwa na hisa kwenye kampuni kadhaa ndani ya Congo na nje ya Congo Koffi anaorodheshwa kuwa ni mmoja wa...
View ArticleBREAKING NEWS JUST IN: BREAKING NEWS: POLISI WAWATAWANYA WAFUASI WA CHAMA...
Habari zilizotufikia Punde:Jeshi la polisi limetumia mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa chama cha wananchi CUF waliokuwa wakiandamana kwa ajili ya kukumbuka mauaji ya wenzao huko Pemba...
View ArticleWAZIRI CHIZA AWASILI OFISI YA WAZIRI MKUU
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) Mhe. Christopher Chiza akipokea ua kutoka kwa mfanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu Bi. Zubeda Ng'olongo kama ishara ya kumkaribisha ofisini...
View Article