Mh hakika muumbaji fundi hebu jionee mguu hupi mukalee kati ya warembo hawa wawili kutoka nchini Tanzania na Uganda wifi na shemeji wa wawatanzania.Japo miguu yao wote haina hata chembe ya vinyweleo wala mijikovu yenye ulaini na usmooth wa kujitosheleza.