$ 0 0 Ulimwengu mpya wa smart phone umewafanya watumiaji wa tekinologia hiyo kuwa bize na kupotezeana wawapo kwenye mkusanyiko.Miaka ya nyuma kabla ya uvumbuzi huwo kulikuwa na njia hii ya kupotezeana kwa kutofautiana itikadi za maongeza na mapendeleo.