MTOTO WA MIAKA MITATU AFARIKI BAADA YA KUBAKWA NA BABA YAKE HUKO KIGOMA
MTOTO mdogo mwenye umri wa miaka mitatu mkazi wa Kijiji cha Nyamihaga Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma amekufa baada ya kunajisiwa na baba yake wa kambo.Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kigoma, Ferdinand...
View ArticleCHECK PICHA MCHUNGAJI ANAYEOMBEA WATU NA KUWAPILIZIA DAWA YA MBU
Nafahamu hii inaweza kukushtua sana, imetokea nchini Afrika Kusini kumuhusu mchungaji Lethebo Rabalago wa Kanisa la Mountzion General Assembly lililopo mji wa Limpopo, ambaye amekutwa akiwapulizia dawa...
View ArticleMWANA FA ALETA MSIBA MKUBWA KWA KINADADA WA MJINI
Leo Mwana Fa ameachia ngoma yake ambayo ni mwiba mchungu kwa kina dada wa mjini wanaopenda na kuishi kwa kuombaomba. Ngoma inaitwa Dume Suruali.Nihonge nanunua nini? Kwa nini yani? Kwa kipi nsichokijua...
View ArticleMAKUNDI YA MBWA YAZUA BALAA SUMBAWANGA..YAUA MBUZI 120
MAKUNDI ya mbwa wanaokadiriwa kufikia 100 yamezua taharuki kubwa kwa wafugaji katika Wilaya ya Kalambo na Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa ambao wanadaiwa wameshaua mbuzi 120, kondoo 12 na ndama...
View ArticleCHECK VIDEO BIEN WA SAUTI SOL AKIFUNGUKA USHINDANI WA DIAMOND PLATINUMS NA...
Baada ya kundi kutokea nchini Kenya , Sauti Sol kutua Tanzania mkoani Arusha kwaajili ya show itakayofanyika leo Nov 19 2016 Millardayo.com na AyoTv imeweza kuwapata katika interview na katika maswali...
View Article