Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 23910

MWANAMKE MCHARUKO ATIMULIWA UKUMBINI...KISA KUSHOBOKEA WAUME ZA WATU!

$
0
0

Haijakaa poa! Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mwimbaji ambaye ni Prezidaa wa Bendi ya Mikumi Sound, Joshua Malekela amelazimika kumtimua mwanamke mmoja ukumbini, kisa kikielezwa ni mcharuko.
Tukio hilo la aina yake lilijiri wikiendi iliyopita kwenye Ukumbi wa Black Poiny uliopo maeneo ya Iringa Road, Msamvu mjini hapa ambapo bendi hiyo ilikuwa ikishusha burudani.

Mlinzi akimuondoa mcharuko(jina halikufahamika) kutoka ukumbini.Kabla ya kutimuliwa, mwanamke huyo ambaye jina halikupatikana, alikuwa akicheza ovyo na kuparamia waume za watu.Pia kabla ya kutolewa, mwanamke huyo alionekana akikwidwa na shabiki wa bendi hiyo akimshutumu kujipendekeza kwa mumewe kwa kumlazimisha akacheze naye sebene huku akimwaga ‘lazi’ hadharani.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 23910

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>