Mbongo Fleva, Omar Nyembo ‘Ommy Dimpoz’, na Vanessa Mdee wakila 'good time'. Tukio la kudhihirisha kwamba wawili hao ni wapendanao lilitokea juzikati walipokuwa kwenye Tamasha la Serengeti Fiesta katika Mikoa ya Iringa na Morogoro ambako paparazi wetu aliwafuatilia hatua kwa hatua.Chanzo chetu kilicho karibu na wawili hao kilipigilia msumari wa uwepo wa penzi motomoto kati ya wawili hao kwa kudai hata ukaribu wa msanii Jux na Vanessa ulioripotiwa hivi karibuni katika vyombo vya habari, ulikuwa ni upambe tu kwa Dimpoz.
Mwanadafada wa Bongo Fleva Vanessa Mdee, akibadilishana mawazo na Omar Nyembo ‘Ommy Dimpoz’. “Jux alikuwa mpambe tu kwa Dimpoz wala hakuwa na uhusiano na Vanessa kama wengi walivyokuwa wakifikiri,” kilisema chanzo hicho. SOMA ZAIDI>>>