![Angalia walichokutana nacho angani hawa abiria wa ndege [Video] virgin galactic spaceship 800x449 Angalia walichokutana nacho angani hawa abiria wa ndege [Video]](http://raha.mipasho.com/wp-content/uploads/sites/4/2014/10/virgin-galactic-spaceship-800x449.jpg)
Abiria wa ndege, wakati wako angani maeneo ya jiji la San Francisco, California, walistaajabishwa kwa kukutana na chombo cha kwenda kwenye space kama mwezini n.k (spaceship) iliyokuwa imeambatanishwa kwenye Virgin Galactic’s White Knight, ndege maalum ya kukinyanyua chombo hicho mpaka kifikie mwinuko wa kukizindua