Lihan Sanga ndege mnana amenasa kwenye dimbwi la mahaba mazito na njemba mpya baada ya penzi lake kupigwa wingi la madam Sepetu na kusambaratika.Njemba hiyo imejichora tatoo lenye jina la mrembo huyo kitendo ambacho hajawahi fanyiwa katika ulimwengu wa mapenzi.