$ 0 0 Ni miongoni mwa mastaa wachache wa Tanzania wenye mashabiki wengi, mwigizaji huyu na Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu aliandaliwa party na watoto wa kitanzania wanaomkubali (Team Wema) na hivi ndivyo ilivyokua